Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni (kushoto) akizungumza na Mbunge wa Viti Maalum Mhe. Dkt. Zeyana Abdallah Hamid wakati wa kikao cha Bunge jijini Dodoma leo Juni 15, 2026. Aliyekaa mbele ni Naibu Waziri wa Uchukuzi Mhe. David Kihenzile.