Sikuwahi kufikiria kwamba pesa nilizokuwa nimemkopesha rafiki yangu wa karibu zingekuja kuwa chanzo cha msongo mkubwa kiasi kile maishani mwangu. Mwanzoni nilimsaidia kwa moyo mmoja tu.

Alikuja kwangu akiwa na shida kubwa, akaniambia alikuwa anapitia kipindi kigumu sana na angenirudishia fedha zangu ndani ya wiki chache….. SOMA ZAIDI