Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akiweka jiwe la msingi la Mradi wa Maji wa Miji 28, Chamwino Dodoma, Aprili 19, 2026. Wengine kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Chamwino, George Malima, Naibu Waziri TAMISEMI (Afya), Dkt Jafar Seif Rajab, Waziri wa Maji, Jumaa Aweso, Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule na kulia ni Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Mhandisi Mwajuma Waziri. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Wananchi wakimsikiliza Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba alipowasalimia baada ya kuweka jiwe la msingi la Mradi wa Maji wa Miji 28, Chamwino Dodoma, Aprili 19, 2026. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

WAZIRI MKUU AWEKA JIWE LA MSINGI LA MRADI WA MAJI WA MIJI 28




