Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba wamewasili katika Kanisa la Hija ya Bikira Maria – Pugu Jijini Dar es Salaam, ambapo wameungana na waombolezaji wegine kushiriki Adhimisho la Misa Takatifu ya Mazishi ya Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo Kuu Katoliki Dar es Salaam, Marehemu Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo. Tarehe 28 Februari 2026.

DKT. NCHIMBI, DKT. MWIGULU KATIKA MISA YA MAZISHI YA KARDINALI POLYCARP PENGO
