Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Mhandisi Cyprian Luhemeja ameungana na Viongozi pamoja na WananchibKatibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Mhandisi Cyprian Luhemeja ameungana na Viongozi pamoja na Wananchi katika Dua na Kumbukizi ya Miaka 53 ya Kifo cha Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi hayati Sheikh Abeid Amani Karume iliyofanyika Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar leo tarehe 07 Aprili, 2025. katika Dua na Kumbukizi ya Miaka 53 ya Kifo cha Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi hayati Sheikh Abeid Amani Karume iliyofanyika Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar leo tarehe 07 Aprili, 2025.