Kwa miaka mingi baadhi ya wanawake wamekuwa na wivu ya jinsi tunavyoishi na mume wangu, wengine huwa wanakuja kuniuliza nimewezaje kumtuliza mume wangu wakati wa kwao wanakuwa na michepuko mingi. Kuna Mama mmoja alinieleza kuwa mume wake amekuwa akilipwa mshahara nzuri na marupurupu kibao kazini……. SOMA ZAIDI
JE, UNATAKA MUME WAKO AWE ANAKUPA MSHAHARA WAKE?, FANYA HIVI

Related Stories
View all
MZOZO WA MASHARIKI YA KATI WAPAISHA BEI YA MAFUTA NCHINI KWA MWEZI OKTOBA 2026
Na Mwandishi Wetu Serikali imesema inaweka mkazo katika kuhakikisha bidhaa za mafuta zinaendelea kupatikana nchini kwa uhakika, licha ya mabadiliko ya bei katika soko la dunia yanayoendelea kuathiri bei za ndani. Katika mwezi Septemba 2026, mgogoro wa kisiasa katika eneo la Mashariki ya Kati, ambako Tanzania hununua sehemu kubwa ya bidhaa zake za mafuta, uliibuka upya na kuathiri uzalishaji, upatikanaji na usafirishaji wa mafuta duniani. Hali hiyo ilisababisha kupanda kwa bei za bidhaa za mafuta yaliyosafishwa katika soko la dunia. Kutokana na mwenendo huo, bei za petroli, dizeli na mafuta ya taa nchini kwa mwezi Oktoba 2026 zimeongezeka ikilinganishwa na mwezi Septemba 2026. Hatua hii inakuja baada ya bei za mafuta kushuka kwa miezi mitatu mfululizo. Serikali imesema inaendelea kufuatilia kwa karibu mwenendo wa soko la mafuta duniani na kuchukua hatua mbalimbali ili kuhakikisha upatikanaji endelevu wa bidhaa za mafuta nchini na bei himilivu kwa wananchi. EWURA imetangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli zitakazotumika nchini kuanzia Jumatano, tarehe 7 Oktoba 2026, saa 6:01 usiku. Kwa mwezi Oktoba 2026, katika Dar es Salaam, bei kikomo ya rejareja ni Shilingi 4,057 kwa lita ya petroli, Shilingi 4,086 kwa lita ya dizeli na Shilingi 4,067 kwa lita ya mafuta ya taa. Kwa Tanga, bei kikomo ya rejareja ni Shilingi 4,123 kwa lita ya petroli, Shilingi 4,152 kwa lita ya dizeli na Shilingi 4,133 kwa lita ya mafuta ya taa. Kwa Mtwara, bei kikomo ya rejareja ni Shilingi 4,170 kwa lita ya petroli, Shilingi 4,199 kwa lita ya dizeli na Shilingi 4,180 kwa lita ya mafuta ya taa. Taarifa ya EWURA imewakumbusha wananchi kuchukua risiti ya manunuzi ya mafuta ili kuwa na ushahidi wa ununuzi huo.
TANZANIA YAFUNGUA FURSA ZA UWEKEZAJI VIWANDA VYA BIDHAA TIBA CPHI MILAN 2026
Tanzania inashiriki Kongamano na Maonesho ya Kimataifa ya Viwanda vya Dawa, Vifaa Tiba, Chanjo na Vitendanishi (CPHI) yanayofanyika Milan, Italia, tarehe 6–8 Oktoba 2026.…