MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi mbalimbali wa CCM Zanzibar, alipowasiIi katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Wilaya ya Mjini Unguja kwa ajili ya kuongoza Kikao cha Kamati Maalumu ya Halmashauri Kuu CCM Zanzibar, kilichofanyika leo 14-1-2025 na (kushoto kwa Rais) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt. Mohammed Said Dimwa.(Picha na Ikulu)
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi mbalimbali wa CCM Zanzibar, alipowasiIi katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Wilaya ya Mjini Unguja kwa ajili ya kuongoza Kikao cha Kamati Maalumu ya Halmashauri Kuu CCM Zanzibar, kilichofanyika leo 14-1-2025.(Picha na Ikulu).
WAJUMBE wa Kamati Maalumu ya Halmashauru Kuu ya CCM Zanzibar, wakisoma makabrasha ya kikao kabla ya kuaza, kilichofanyika leo 14-1-2025, katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar, kilichoongozwa na Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(Picha na Ikulu)
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika ukumbi wa mkutano wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar kwa ajili ya kuongoza Kikao cha Kamati Maalumu ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar, kilichofanyika leo 14-1-2025 na (kulia kwa Rais) Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla na (kushoto kwa Rais) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt. Mohammed Said Dimwa.(Picha na Ikulu)
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika ukumbi wa mkutano Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar kwa ajili ya kuongoza Kikao cha Kamati Maalumu ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar, kilichofanyika leo 14-1-2025.na (kulia kwa Rais) Mjumbe wa Hamlashauri Kuu ya CCM Taifa, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla.(Picha na Ikulu)
NAIBU Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar Dkt.Mohammed Said Dimwa akisoma ajenda za Kikao cha Kamati Maalumu ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar, kichoongozwa na Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, kilichofanyika leo 14-1-2025, katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiongoza Kikao cha Kamati Maalumu ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar, kilichofanyika leo 14-1-2025, katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)