Afisa Mawasiliano Mwandamizi wa TBL,Amanda Walter,akipokea zawadi kwa niaba ya kampuni kutoka mkuu wa msafara wa wanafunzi kutoka Chuo Cha ulinzi cha Nigeria,TZ Dauda,wakati walipofanya ziara kiwandani hapo mwishoni mwa wiki.
Afisa Mawasiliano Mwandamizi wa kampuni ya TBL, Amanda Walter, akitoa maelezo kwa wanafunzi wanajeshi kutoka Chuo cha Taifa cha Ulinzi cha Nigeria walipotembelea kiwanda cha TBL cha Ilala jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kujifunza uzalishaji kwa vitendo mwishoni mwa wiki.