Wachezaji wa Arsenal wakimzonga refa Paul Tierney wakati anamuonyesha kadi nyekundu Nahodha wao, Pierre-Emerick Aubameyang dakika ya 67 kwa kumchezea rafu Max Meyer katika sare ya 1-1 na Crystal Palace kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Selhurst Park Jijini London. Aubameyang alitoka akiwa ameifungia Arsenal bao la kuongoza dakika ya 12 akimalizia pasi ya Alexandre Lacazette, kabla ya Jordan Ayew kuisawazishia Crystal Palace akimtungua Bernd Leno kwa shuti lililombabatiza David Luiz PICHA ZAIDI SOMA HAPA
AUBAMEYANG ALIMWA KADI NYEKUNDU ARSENAL YATOA 1-1 NA PALACE
By Alex Sonna
January 11, 2020 | 5:56 pm

Related Stories
View all
Michezo
5 hours ago
SIMBA SC YAICHAPA MIGHTY WANDERERS 6 -1, YASONGA MBELE LIGI YA MABIGWA AFRIKA
Wekundu wa Msimbazi, , wameibuka na ushindi wa mabao 6-1 dhidi ya Mighty Wanderers ya Malawi katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika uliopigwa…
Michezo
1 day ago
YANGA SC YASONGA MBELE LIGI YA MABINGWA AFRIKA
Mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga SC, wamefanikiwa kusonga mbele katika Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kuibuka na ushindi wa bao 2-1…
