Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye maandamano pamoja na viongozi wengine wakati wakielekea kwenye eneo la Marekani, Kampasi Kuu Morogoro kwa ajili ya sherehe za Mahafali ya 23 ya Chuo Kikuu Mzumbe Mkoani Morogoro tarehe 24 Novemba, 2024.