Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akitunukiwa Shahada ya Udaktari wa Heshima katika Uongozi ya Chuo Kikuu Mzumbe na Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein kwenye Mahafali ya 23 ya Chuo Kikuu Mzumbe Mkoani Morogoro.
Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan atunukiwa shahada ya Udaktari wa Heshima katika Uongozi kwenye Mahafali ya 23 ya Chuo Kikuu Mzumbe Mkoani Morogoro.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia kwenye Mahafali ya 23 ya Chuo Kikuu Mzumbe Mkoani Morogoro yaliyofanyika katika eneo la Maekani, Kampasi Kuu Morogoro tarehe 24 Novemba, 2024.