Thuwaiba Juma, Afisa kutoka Bodi ya Bima ya Amana (DIB), akitoa maelezo kwa wafanyakazi wa taasisi ya kifedha ya Black Finance tawi la Mbeya wakati walipotembelea katika banda la DIB Leo Oktoba 24, 2024 kwenye Maadhimisho ya Nne ya Wiki ya Huduma za Fedha Kitaifa yenye kaulimbiu “Elimu ya Fedha, Msingi wa Maendeleo ya Kiuchumi,” yanayofanyika katika Viwanja vya Luanda-Nzovwe jijini Mbeya.
Thuwaiba Juma, Afisa kutoka Bodi ya Bima ya Amana (DIB), akisisitiza jambo wakati aktoa maelezo kwa wafanyakazi wa taasisi ya kifedha ya Black Finance tawi la Mbeya wakati walipotembelea katika banda la DIB Leo Oktoba 24, 2024 kwenye Maadhimisho ya Nne ya Wiki ya Huduma za Fedha Kitaifa yenye kaulimbiu “Elimu ya Fedha, Msingi wa Maendeleo ya Kiuchumi,” yanayofanyika katika Viwanja vya Luanda-Nzovwe jijini Mbeya.
Wafanyakazi wa taasisi ya kifedha ya Black Finance tawi la Mbeya wakipitia vijarida vyenye maelezo mbalimbali na Malengo ya Bodi ya Bima ya Amana DIB wakati walipotembelea katika banda la hilo leo Oktoba 24, 2024 kwenye Maadhimisho ya Nne ya Wiki ya Huduma za Fedha Kitaifa yenye kaulimbiu “Elimu ya Fedha, Msingi wa Maendeleo ya Kiuchumi,” yanayofanyika katika Viwanja vya Luanda-Nzovwe jijini Mbeya.
Wafanyakazi wa taasisi ya kifedha ya Black Finance tawi la Mbeya wakipitia vijarida vyenye maelezo mbalimbali na Malengo ya Bodi ya Bima ya Amana DIB, wakati walipotembelea katika banda la hilo leo Oktoba 24, 2024 kwenye Maadhimisho ya Nne ya Wiki ya Huduma za Fedha Kitaifa yenye kaulimbiu “Elimu ya Fedha, Msingi wa Maendeleo ya yanayofanyika katika Viwanja vya Luanda-Nzovwe jijini Mbeya.
Wafanyakazi wa taasisi ya kifedha ya Black Finance tawi la Mbeya wakitia saini kitabu cha wageni Mara baada ya kutembelea katika banda la DIB Leo Oktoba 24, 2024 kwenye Maadhimisho ya Nne ya Wiki ya Huduma za Fedha Kitaifa yenye kaulimbiu “Elimu ya Fedha, Msingi wa Maendeleo ya Kiuchumi,” yanayofanyika katika Viwanja vya Luanda-Nzovwe jijini Mbeya.