Afisa Huduma kwa
Wateja wa Tanga Uwasa Devota Mayala akizungumza wakati wa mkutano huo
AFISA Uhusiano Msaidizi wa Tanga Uwasa Anna Makange akisisitiza jambo wakati wa mkutano huo
Afisa Huduma kwa
Wateja wa Tanga Uwasa Devota Mayala akigawa vipeperushi wakati wa mkutano huo
Msimamizi wa Mtandao wa Maji Tanga Uwasa George Mbalai akigawa vipeperushi kwa wananchi wakati wa mkutano huo |
Mkazi wa Kata ya Mwanzange Mashaka Shabani akichangia kwenye mkutano huo
Sehemu ya wananchi wa Kata ya Mwanzange Jijini Tanga wakifuatilia mkutano huo
MAMLAKA ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira
Jijini Tanga (Tanga Uwasa) imeeleza kwamba ufungaji wa mita za luku kwa
wananchi na kwenye baadhi ya Taasisi za Serikali utasaidia kupunguza
madeni na kuondoa kero.

Hayo yalisemwa na Afisa Huduma kwa
Wateja wa Tanga Uwasa Devota Mayala wakati akizungumza na wananchi wa
Kata ya Mwanzange Jijini Tanga kwenye zoezi la uelimishaji kuhusu huduma
zao.

Elimu hiyo pia ilitolewa kuhusiana na bili
namna ya kutasfiri bili ambazo na namna zinavyopatikana ikiwemo matumizi
sahihi ya maji ili waweze kuondokana na malalamiko ya kuletewa bili
kubwa.

“Lakini niwaambieni wananchi suala mita za
luku au limaku kwa upande wao Tanga Uwasa hivi sasa tupo kwenye
majaribio tunafunga kwa baadhi ya Taasisi na wale wenye madeni sugu nia
ni kutumia mita kupunguza madeni”Alisema

Alisema kwa sababu pia kwa mtu wa kawaida
lengo la kupunguza madeni na kuondoa kero kwa wananchi ambao wanaona
hawatumii bili ambazo ni sahihi na hivyo uwepo wa mfumo huo utawezesha
kulipia huduma hiyo kabla ya kulipia.

Hata hiyo alisema kwamba kwa sasa
tumezifunga kwa Tassisi kubwa na wateja wadaiwa sugu na bado wapo kwenye
majaribio na wataangalia jinsi zinazofanya kazi lakini changamoto zake
ni ikitokea itilafu ya aina yoyote kwenye mita mteja anakosa huduma
hiyo.

“Kwani baadhiya mita hizo zinajifunga
zenyewe kama ukikosea kufanya malipo mara ya pili zinaweza kujifunga
zenyewe hivyo wanahitaji wataalamu ambao ikitokea itilafu wanaweza
kuwasaidia kutatua hili kwa wakati “Alisema

Awali akizungumza wakati wa zoezi hilo la
uelimishaji Afisa Ankra Msaidizi wa Tanga Uwasa Ausi Anthony alisema
mita hizo zimeanza kufungwa kwa taasisi kubwa na mita zina gharama
kidogo hivyo wakiwafungia wateja wa kawaida hakuna kiasi chochte
wanachoweza kutoa.

Naye kwa upande wake mkazi wa Mwanzange
Jijini Tangaa Mashaka Shabani alisema kwamba ufungaji wa mita hizo
utakuwa mkombozi kwao kwani utawasaidia kuweza kutumia maji kwa
uangalifu mkubwa ambao utakuwa chachu.

Alisema kwani mfumo huo utakuwa kama
wanavyofanya kwenye suala la umeme kwa kulipia kabla ya kuanza kutumia
na hivyo mtumiaji kuwa mamini na matumizi yake ya kila siku.

Naye kwa upande wake Beatrice Benjamini
ambaye ni mkazi wa Mwanzange Jijini Tanga alisema bili inaweza kuja
kubwa ukashindwa kulipia kutokana na kukosa fedha lakini uwepo wa mfumo
wa mita za luku utawawezesha kuwa makini na kujiandaa na malipo muda
wowote malipo yanapokwisha.

“Hivyo naomba kama inawezekana kwenye suala
la maji kulipia tulipe kama luku tunavyolipia kwa Tanesco hivyo
watuharakishie kwa sasa tuletewe mfumo huo kuweza kuwarahisishia
“Alisema.