Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akisalimiana na viongozi alipowasili kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam kumwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika ufunguzi wa Mkutano wa Nane  wa Mawaziri  wa Umoja wa Nchi za Afrika , Karibian na Pasifiki (OACPS) wanaohusika na masula ya Uvuvi, Bahari, Maziwa  na Mito, Septemba 11, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa ameshika dagaa waliofungashwa kitalaamu wakati alipotembelea Banda la Maonesho la  Chama cha Wanawake wanaojishugulisha na Biashara ya Samaki (TAWFA )  Kushoto  ni Beatrice Mmbaga kutoka TAWFA  Kanda ya Ziwa alipomwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika ufunguzi wa Mkutano wa Nane  wa Mawaziri  wa Umoja wa Nchi za Afrika , Karibian na Pasifiki (OACPS) wanaohusika na masula ya Uvuvi, Bahari, Maziwa  na Mito, Septemba 11, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipomwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika ufunguzi wa Mkutano wa Nane  wa Mawaziri  wa Umoja wa Nchi za Afrika , Karibian na Pasifiki (OACPS) wanaohusika na masula ya Uvuvi, Bahari, Maziwa  na Mito uliofanyika kwenye Kituo cha mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam, Septemba 11, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)