Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge akimkabidhi mfano wa hundi ya shilingi milioni 11.1 Afisa Uuguzi mstaafu wa Taasisi hiyo Zita Meela ikiwa ni shukrani ya kutambua mchango wake aliutoa wa kuwahudumia wagonjwa wa moyo wakati wa hafla fupi ya kuwaaga wastaafu watatu wa taasisi hiyo iliyofanyika jana katika ukumbi wa mikutano wa JKCI. Wastaafu hao walipewa zawadi na JKCI ya tuzo, cheti, mabati 300 na mifuko ya saruji 300 yenye thamani ya shilingi milioni 11.1.
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge akimkabidhi tuzo Afisa Uuguzi mstaafu wa Taasisi hiyo Rehema Bakari ikiwa ni shukrani ya kutambua mchango wake aliutoa wa kuwahudumia wagonjwa wa moyo wakati wa hafla fupi ya kuwaaga wastaafu watatu wa taasisi hiyo iliyofanyika jana katika ukumbi wa mikutano wa JKCI. Wastaafu hao walipewa zawadi na JKCI ya tuzo, cheti, mabati 300 na mifuko ya saruji 300 yenye thamani ya shilingi milioni 11.1
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge akimkabidhi cheti mtaalamu mstaafu wa kuendesha mashine ya kuusaidia moyo na mapafu kufanya kazi (Heart lung machine) wakati wa kufanya upasuaji mkubwa wa moyo Dkt. Fredy Mwasaga ikiwa ni shukrani ya kutambua mchango wake aliutoa wa kuwahudumia wagonjwa wa moyo wakati wa hafla fupi ya kuwaaga wastaafu watatu wa taasisi hiyo iliyofanyika jana katika ukumbi wa mikutano wa JKCI. Wastaafu hao walipewa zawadi na JKCI ya tuzo, cheti, mabati 300 na mifuko ya saruji 300 yenye thamani ya shilingi milioni 11.1
Afisa Uuguzi mstaafu wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Zita Meela akitoa neno la shukrani wakati wa hafla fupi ya kuwaaga wastaafu watatu wa taasisi hiyo iliyofanyika jana katika ukumbi wa mikutano wa JKCI ijini Dar es Salaam. Wastaafu hao walipewa zawadi na JKCI ya tuzo, cheti, mabati 300 na mifuko ya saruji 300 yenye thamani ya shilingi milioni 11.1
Maafisa Uuguzi wastaafu wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Zita Meela na Rehema Bakari wakimlisha keki Mkurugenzi wa Uuguzi Robert Mallya wakati wa hafla fupi ya kuwaaga wastaafu hao iliyofanyika jana katika ukumbi wa mikutano wa JKCI jijini Dar es Salaam. Wastaafu hao walipewa zawadi na JKCI ya tuzo, cheti, mabati 300 na mifuko ya saruji 300 yenye thamani ya shilingi milioni 11.1
Picha na JKCI