Meneja Mawasiliano na Elimu kwa Umma,wa Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA),Gaudensia Simwanza akitoa maelezo kwa Bi.Graceous Gallet Afisa Mlinzi wa Walaji kutoka Tume ya Ushindani (FCC) wakati alipotembelea banda la taasisi hiyo kujionea shughuli mbalimbali zinazofanywa na taasisi hiyo kwenye maonesho ya nne ya Bidhaa za Viwanda yaliyomalika na kufungwa jana kwenye viwanja vya Mwalimu Nyerere Barabara ya Kilwa jiji Dar es salaam

Meneja Mawasiliano na Elimu kwa Umma,wa Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA),Gaudensia Simwanza akitoa maelezo kwa Bi.Graceous Gallet Afisa Mlinzi wa Walaji kutoka Tume ya Ushindani (FCC) na wenzake wakati alipotembelea banda la taasisi hiyo kujionea shughuli mbalimbali zinazofanywa na taasisi hiyo kwenye maonesho ya nne ya Bidhaa za Viwanda yaliyomalika na kufungwa jana kwenye viwanja vya Mwalimu Nyerere Barabara ya Kilwa jiji Dar es salaam