Wednesday, October 7, 2026
Breaking Live updates from Parliament and Government briefings across Tanzania
Full Shangwe Blog
  • Home
  • Beauty
  • Biashara
  • Burudani
  • Entertainment
  • Featured
  • Health
Fullshangwe featured banner Fullshangwe announcement banner
  1. Home
  2. Mchanganyiko

KATIBU MKUU UWT SUZAN KUNAMBI ALAANI TUKIO LA MAUAJI YA MTOTO ASIMWE

By fullshangwe June 19, 2024 | 5:37 am

Related Stories

View all
MZOZO WA MASHARIKI YA KATI WAPAISHA BEI YA MAFUTA NCHINI KWA MWEZI OKTOBA 2026
Mchanganyiko 2 hours ago

MZOZO WA MASHARIKI YA KATI WAPAISHA BEI YA MAFUTA NCHINI KWA MWEZI OKTOBA 2026

Na Mwandishi Wetu      Serikali imesema inaweka mkazo katika kuhakikisha bidhaa za mafuta zinaendelea kupatikana nchini kwa uhakika, licha ya mabadiliko ya bei katika soko la dunia yanayoendelea kuathiri bei za ndani.  Katika mwezi Septemba 2026, mgogoro wa kisiasa katika eneo la Mashariki ya Kati, ambako Tanzania hununua sehemu kubwa ya bidhaa zake za mafuta, uliibuka upya na kuathiri uzalishaji, upatikanaji na usafirishaji wa mafuta duniani. Hali hiyo ilisababisha kupanda kwa bei za bidhaa za mafuta yaliyosafishwa katika soko la dunia.  Kutokana na mwenendo huo, bei za petroli, dizeli na mafuta ya taa nchini kwa mwezi Oktoba 2026 zimeongezeka ikilinganishwa na mwezi Septemba 2026. Hatua hii inakuja baada ya bei za mafuta kushuka kwa miezi mitatu mfululizo.   Serikali imesema inaendelea kufuatilia kwa karibu mwenendo wa soko la mafuta duniani na kuchukua hatua mbalimbali ili kuhakikisha upatikanaji endelevu wa bidhaa za mafuta nchini na bei himilivu kwa wananchi.  EWURA imetangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli zitakazotumika nchini kuanzia Jumatano, tarehe 7 Oktoba 2026, saa 6:01 usiku.  Kwa mwezi Oktoba 2026, katika Dar es Salaam, bei kikomo ya rejareja ni Shilingi 4,057 kwa lita ya petroli, Shilingi 4,086 kwa lita ya dizeli na Shilingi 4,067 kwa lita ya mafuta ya taa.  Kwa Tanga, bei kikomo ya rejareja ni Shilingi 4,123 kwa lita ya petroli, Shilingi 4,152 kwa lita ya dizeli na Shilingi 4,133 kwa lita ya mafuta ya taa.  Kwa Mtwara, bei kikomo ya rejareja ni Shilingi 4,170 kwa lita ya petroli, Shilingi 4,199 kwa lita ya dizeli na Shilingi 4,180 kwa lita ya mafuta ya taa. Taarifa ya EWURA imewakumbusha wananchi kuchukua risiti ya manunuzi ya mafuta ili kuwa na ushahidi wa ununuzi huo.

TANZANIA YAFUNGUA FURSA ZA UWEKEZAJI VIWANDA VYA BIDHAA TIBA CPHI MILAN 2026
Mchanganyiko 8 hours ago

TANZANIA YAFUNGUA FURSA ZA UWEKEZAJI VIWANDA VYA BIDHAA TIBA CPHI MILAN 2026

Tanzania inashiriki Kongamano na Maonesho ya Kimataifa ya Viwanda vya Dawa, Vifaa Tiba, Chanjo na Vitendanishi (CPHI) yanayofanyika Milan, Italia, tarehe 6–8 Oktoba 2026.…

Full Shangwe Blog

Hard-news coverage of Tanzania politics, government, parliament, policy, and public accountability.

[email protected] +255 700 000 000

News

  • Politics
  • Government
  • Parliament
  • Policy

Topics

  • Elections
  • Budget
  • Regions
  • Diplomacy

Readers

  • About Us
  • Advertise
  • Contact
  • Submit News

Follow

© 2026 Full Shangwe Blog. All rights reserved. Design by Webline Africa Limited
Privacy Policy Terms Editorial Policy