Katibu wa Bunge ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi ya Bunge, Ndg. Nenelwa Mwihambi, ndc ameongoza kikao cha Baraza hilo kilichopitia na kuthibitisha Muhtasari wa kikao kilichopita cha tarehe 18 Juni, 2023, Taarifa ya utekelezaji wa Bajeti ya mfuko wa Bunge kwa kipindi cha robo ya kwanza ya Mwaka wa Fedha 2023/2024, Mwelekeo wa utekelezaji wa Bajeti kwa kipindi cha nusu Mwaka na Taarifa ya utekelezaji wa majukumu ya idara ya utawala na rasilimali watu kwa Mwezi Julai – Septemba 2023 kilichofanyika leo tarehe 17 Novemba, 2023 katika hoteli na Kituo cha Mikutano cha APC kilichopo Mbweni Jijini Dar es Salaam. Kikao hicho cha muda wa siku mbili kimeanza leo tarehe 17 Novemba, 2023 na kinategemewa kuhitimishwa kesho tarehe 18 Novemba, 2023.
Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi ya Bunge wakishiriki kikao cha Baraza hilo kilichopitia na kuthibitisha Muhtasari wa kikao kilichopita cha tarehe 18 Juni, 2023, Taarifa ya utekelezaji wa Bajeti ya mfuko wa Bunge kwa kipindi cha robo ya kwanza ya Mwaka wa Fedha 2023/2024, Mwelekeo wa utekelezaji wa Bajeti kwa kipindi cha nusu Mwaka na Taarifa ya utekelezaji wa majukumu ya idara ya utawala na rasilimali watu kwa Mwezi Julai – Septemba 2023 kilichofanyika leo tarehe 17 Novemba, 2023 katika hoteli na Kituo cha Mikutano cha APC kilichopo Mbweni Jijini Dar es Salaam, Kikao hicho cha muda wa siku mbili kimeanza leo tarehe 17 Novemba, 2023 na kinategemewa kuhitimishwa kesho tarehe 18 Novemba, 2023.(PICHA NA OFISI YA BUNGE)