Naibu Waziri Mkuu, Dkt. Doto Biteko akisaini kitabu wakati wa mapokezi rasmi ofisini, yaliyofanyika kwenye Ofisi ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni jijijini Dar es salaam, Septemba 2, 2023. Kutoka kushoto ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Profesa Joyce Ndalichako na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Jenista Mhagama. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko akizungumza na watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu wakati aliporipoti ofisi ndogo ya Waziri Mkuu Magogoni Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Waziri Mkuu Kassim, Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhandisi Cyprian Luhemeja Kamishna wa Dawa za Kulevya… Kushoto ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu Jenista Mhagama na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Profesa Joyce Ndalichako, Septemba 2, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu alipomkaribisha ofisini Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko Ofisi ndogo ya Waziri Mkuu Magogoni Jijini Dar es Salaam, Septemba 02, 2023 Kulia Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhandisi Cyprian Luhemeja Kamishna wa Dawa za Kulevya Aretas Lyimo, Kushoto ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu Jenista Mhagama na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Profesa Joyce Ndalichako Septemba 2, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)