Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akiwa kwenye picha na Mhe. António Guterres, Katibu Mkuu wa

Umoja wa Mataifa (UN) (kushoto) pamoja na Mhe. Recep Tayyip Erdoğan, Rais wa Jamhuri ya Uturuki (kulia), baada ya kuwasili ANFAŞ Antalya Expo Center nchini Uturuki kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa 31 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi (COP31), tarehe 11 Novemba, 2026.