Ilkay Gundogan akikimbia kushangilia baada ya kuifungia Manchester City bao la tatu dakika ya 70, kufuatia Raheem Sterling kufunga la kwanza dakika ya 46 na David Silva la pili dakika ya 65 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Aston Villa kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Etihad. Kwa ushindi huo, Man City inafikisha pointi 22 baada ya kucheza mechi 10, sasa ikizidiwa pointi tatu tu na Liverpool ambayo hata hivyo imecheza mechi tisa PICHA ZAIDI SOMA HAPA
MAN CITY YAZIDI KUITAFUTA LIVERPOOL KILELENI,YAITANDIKA 3-0 ASTON VILLA
By Alex Sonna
October 27, 2019 | 4:08 am

Related Stories
View all
Michezo
6 hours ago
JKT YAFUNGA MASHINDANO YA CNS CUP 2026, YASISITIZA NIDHAMU KUKUZA VIPAJI
Na.Sophia Kingimali. Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) limefunga rasmi Mashindano ya Kombe la CNS Cup 2026 katika Kambi ya JKT Mgulani jijini Dar es…
Michezo
1 day ago
LIONEL MESSI AANDIKA HISTORIA MPYA YA KOMBE LA DUNIA
Timu ya Taifa ya Argentina imefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Austria katika mchezo wake wa pili wa hatua ya makundi…
