Antonio Candreva akikimbia kushangilia kifua wazi baada ya kuifungia Inter Milan bao la pili dakika ya 89 kufuatia Lautaro Martinez kufunga la kwanza dakika ya 22 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Borussia Dortmund kwenye mchezo wa Kundi F Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Giuseppe Meazza mjini Milan PICHA ZAIDI SOMA HAPA
INTER MILAN YAIZAMISHA 2-0 BORUSSIA DORTMUND
By Alex Sonna
October 24, 2019 | 3:35 am

Related Stories
View all
Michezo
5 hours ago
SIMBA SC “YAMTWANGA” AZAM FC NYUMBANI KWAKE
Kikosi cha Wekundu wa Msimbazi, Simba SC, kimeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Azam FC katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara…
Michezo
1 day ago
YANGA SC YAIFUNGA GEITA GOLD KWA TABU, DAR ES SALAAM
Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga SC, wameibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Geita Gold katika mchezo wa Ligi Kuu…
