Makamo Mwenyekiti wa CCM Taifa pia Rais wa Zanzibar Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akivalishwa Skafu na Ndg.Abdalla Adam UVCCM wakati alipowasili viwanja vya Ukumbi wa Dk.Ali Mohamed Shein, Tunguu Wilaya ya Kati,Mkoa wa Kusini Unguja leo akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi CCM.[Picha na Ikulu] 04/06/2023.
Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar pia Rais wa Zanzibar Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akifuatana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanmzibar Mhe.Dkt.Mohamed Said Dimwa wakati akiingia katika Ukumbi wa Dk.Ali Mohamed Shein, Tunguu Wilaya ya Kati,Mkoa wa Kusini Unguja akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi CCM Mkoa huo leo..[Picha na Ikulu] 04/06/2023.
Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar pia Rais wa Zanzibar Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) pamoja na Viongozi wengine wa CCM wakiimba wimbo wa chama mara baada ya kuingia katika Ukumbi wa Dk.Ali Mohamed Shein, Tunguu Wilaya ya Kati,Mkoa wa Kusini Unguja akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi CCM Mkoa huo leo.(wa pili kulia) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanmzibar Mhe.Dkt.Mohamed Said Dimwa.[Picha na Ikulu] 04/06/2023.
Wabunge wa CCM Mkoa wa Kusini na Viongozi mbali mbali wakiwa katika Mkutano wa Mabalozi wa Chama katika Ukumbi wa Dk.Ali Mohamed Shein, Tunguu Wilaya ya Kati,Mkoa wa Kusini Unguja,mgeni rasmi alikuwa Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar pia Rais wa Zanzibar Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi. [Picha na Ikulu] 04/06/2023.
Mabalozi wa Chama cha Mapinduzi shehia mbali mbali katika Wilaya za Mkoa wa Kusini Unguja wakifuatilia kwa makini taarifa mbali mbali zilizotolewa katika Mkutano wa kuimarisha Chama katika ukumbi wa Dkt.Ali Mohamed Shein Tunguu Wilaya ya Kati,mgeni rasmi alikuwa Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar pia Rais wa Zanzibar Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi. [Picha na Ikulu] 04/06/2023.
Makamanda wa Vikosi vya Ulinzi waliohudhuria katika Mkutano wa kuimarisha Chama katika ukumbi wa Dkt.Ali Mohamed Shein Tunguu Wilaya ya Kati,mgeni rasmi alikuwa Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar pia Rais wa Zanzibar Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi. [Picha na Ikulu] 04/06/2023.
Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar pia Rais wa Zanzibar Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akifuatilia kwa makini Taarifa zilizotolewa na Watendaji wakati wa mkutano wa kuimarisha cha cha Mapinduzi Mkoa wa Kusini Unguja leo katika Ukumbi wa Dkt.Ali Mohamed Shein, Tunguu Wilaya ya Kati. [Picha na Ikulu] 04/06/2023.
Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar pia Rais wa Zanzibar Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akionesha kadi za wanachama wapya wa CCM waliojiunga na CCM,ambao wakekihama chama cha ACT Wazalendo wakati wa mkutano wa kuimarisha cha cha Mapinduzi Mkoa wa Kusini Unguja leo katika Ukumbi wa Dkt.Ali Mohamed Shein, Tunguu Wilaya ya Kati. [Picha na Ikulu] 04/06/2023.
Wakuu wa Wilaya za Mkoa wa Kusini Unguja na Mwenyekiti wa CCM Wilaya wakimsikiliza Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar pia Rais wa Zanzibar Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akitoa nasaha zake kwa mabalozi wa Mkoa wa Kusini Unguja katika mkutano wa kuimarisha cha cha Mapinduzi Mkoa wa Kusini Unguja leo katika Ukumbi wa Dkt.Ali Mohamed Shein, Tunguu Wilaya ya Kati. [Picha na Ikulu] 04/06/2023.
Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar pia Rais wa Zanzibar Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akitoa nasaha zake kwa Viongozi,Makatibu,Wenyeviti na Mabalozi wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja katika mkutano wa kuimarisha cha cha Mapinduzi Mkoa wa Kusini Unguja leo katika Ukumbi wa Dkt.Ali Mohamed Shein, Tunguu Wilaya ya Kati. [Picha na Ikulu] 04/06/2023.
Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar pia Rais wa Zanzibar Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisisitiza jambo wakati alipokuwa akitoa hutuba yake kwa Viongozi,Makatibu,Wenyeviti na Mabalozi wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja katika mkutano wa kuimarisha cha cha Mapinduzi Mkoa wa Kusini Unguja leo katika Ukumbi wa Dkt.Ali Mohamed Shein, Tunguu Wilaya ya Kati. [Picha na Ikulu] 04/06/2023.
Baadhi ya WanaCCM na Viongozi wakimsikiliza Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar pia Rais wa Zanzibar Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisisitiza jambo wakati alipokuwa akitoa hutuba yake kwa Viongozi,Makatibu,Wenyeviti na Mabalozi wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja katika mkutano wa kuimarisha cha cha Mapinduzi Mkoa wa Kusini Unguja leo katika Ukumbi wa Dkt.Ali Mohamed Shein, Tunguu Wilaya ya Kati. [Picha na Ikulu] 04/06/2023.