Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akijibu maswali ya wabunge katika kipindi cha maswali ya papo kwa papo, Bungeni Jijini Dodoma Mei 31, 2023 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisikiliza swali kutoka kwa Mbunge wa Viti Maalum, Salome Makamba , wakati akijibu maswali ya papo kwa papo, Bungeni jijini Dodoma, Mei 31, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)