Katika kutambua umuhimu wa Usalama kwa vyombo vya Moto hapa nchini, Hususani madereva wa pikipiki maarufu kama Bodaboda,Meridianbet Tanzania wakali wa odds kubwa na kasino ya mtandaoni imeanzisha kampeni inayoitwa Mtaa Kwa Mtaa Na Meridianbet yenye lengo maalum la kugawa Reflectors kwa madereva wa bodaboda wa maeneo yote ya jiji la Dar es Salaam kwa kushirikiana na Jeshi la polisi la Usalama Barabarani.

Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara odds kubwa zaidi, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.

Akiongea na  waandishi wa habari wakati wa zoezi hilo, Mkuu wa kitengo cha Masoko na Mawasiliano Matina Nkurlu,aliyeambatana na timu ya masoko kutoka Meridianbet alisema wameamua kushirikiana na jeshi la Polisi la Usalama Barabarani kutoa elimu yaUsalamabarabarani pamoja na kugawa reflectors kwa   madereva bodaboda.

Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds kubwa sana, usikose pia Kasino ya  mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette

Sababu ya kufanya hayo kupunguza ajali  nyingi sana hususani nyakati za usiku na  ndiyo maana wameamua kutoa reflectors kwa madereva wa bodaboda wote waliopo jijini Dar es Salam, maeneo yaliyofikiwa mpaka sasani Kawe, Kinondoni, Sinza, Mwenge na Tangibovu huku lengo ni  kuwafikia madereva bodaboda wote wa jiji lote la   Dar es Salaam.

“Meridianbet tuna msemo wetu wa CHAGUA TUKUPE, huu ni maalum kwa wateja wetu wote kuwa tunawapatia  kile wanachotaka, baada ya kusikia kilio cha madereva hawa wa Bodaboda  tumeamua  kuwapatia Reflectors hizi maalum ili kujikinga na majanga  ya barabarani kama ajali lakini pia ni kuimarisha usafi na  utanashati wao binafsi”Nkurlu

Jisajili na Meridianbet upate mizunguko 50 ya bure kucheza kasino ya mtandaoni, kusanya mizunguko yako na odds kubwa za soka hapa.

NB: Meridianbet Jackpoti inaendelea kwa  mechi 13 odds kubwa,daudogo la kuanzia 1,000/=TZS mshindi atajinyakulia donge nono la Tsh 85,000,000/= PIGA *149*10#

#MERIDIANBET CHAGUA TUKUPE