Washiriki wa Mafunzo ya Upishi na Ukarimu kutoka Taasisi za Serikali na Binafsi wakimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Issa Haji Ussi (Gavu) (hayupo pichani) alipokuwa akifungua mafunzo hayo yatayoendeshwa na Wakufunzi kutoka Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China,hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Idris Abduwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar,[Picha na Ikulu.] 11/09/2019.
Balozi Mdogo wa Jamhuri ya Watu wa China aliyepo Zanzibar Mhe.XIE XIAOWU (kulia) akicheza ngoma ya Msewe iliyopigwa na kikundi cha Sanaa cha Taifa katika Ukumbi wa Idris Abduwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar wakati wa ufunguzi wa mafunzo Mapishi na Ukarimu yaliyofunguliwa leo na kuendeshwa na Wakufunzi kutoka Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China, [Picha na Ikulu.] 11/09/2019.
Washiriki wa Mafunzo ya Upishi na Ukarimu kutoka Taasisi za Serikali na Binafsi wakimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Issa Haji Ussi (Gavu) (hayupo pichani) alipokuwa akifungua mafunzo hayo yatayoendeshwa na Wakufunzi kutoka Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China,hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Idris Abduwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar,[Picha na Ikulu.] 11/09/2019.
Makamo Meneja Mkuu wa Taasisi ya China NATIONAL RESEARCH INSITITUTE OF FOOD AND FERMENTATION INDUSTIES COPORATION LTD Bw.Dong Wei Hong akitoa taarifa ya mafunzo kwa mgeni rasmi Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Issa Haji Ussi (Gavu) leo katika Ufunguzi wa Mafunzo ya Upishi na Ukarimu yatayoendeshwa na Wakufunzi kutoka Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China katika ukumbi wa Idris Abduwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar,[Picha na Ikulu.] 11/09/2019.