Home Mchanganyiko WAZIRI MKUU AZUNGUMZA NA MISS TANZANIA 2019

WAZIRI MKUU AZUNGUMZA NA MISS TANZANIA 2019

0

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Harrison Mwakyembe, ofisini kwake Mlimwa, jijini Dodoma, Septemba 11.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akisalimiana na Miss Tanzania 2019, Sylivia Sebastian, nje ya Ofisi ya Waziri Mkuu, Mlimwa, jijini Dodoma, Septemba 11.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akisalimiana na Miss Tanzania 2019, Sylivia Sebastian, ofisini kwake Mlimwa, jijini Dodoma, Septemba 11.2019, kushoto ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Harrison Mwakyembe. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akisalimiana na Mkurugenzi wa The Look Company Ltd, Basilla Mwanukuzi, ambaye ndiye muandaaji wa shindano la Miss Tanzania 2019, ofisini kwake Mlimwa, jijini Dodoma, Septemba 11.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Harrison Mwakyembe na waandaaji wa shindano la Miss Tanzania 2019 ofisini kwake Mlimwa, jijini Dodoma, Septemba 11.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).