Mkwaju wa penalti uliopigwa na Paul Pogba ukienda juu baada ya kuokolewa na kipa Rui Patricio dakika ya 68 Manchester United ikitoa sare ya 1-1 na wenyeji, Wolverhampton Wanderers katika mchezo wa Ligi Kuu ya England, Uwanja wa Molineux, West Midlands. Penalti hiyo ilitolewa baada ya yeye mwenyewe, Pogba kuangushwa na Conor Coady kwenye boksi katika mchezo ambao Man United walitangulia kwa bao la A. Martial dakika ya 27 kabla ya Ruben Neves kuisawazishia Wolves dakika ya 55 PICHA ZAIDI SOMA HAPA
MAN UNITED YALAZIMISHWA SARE 1-1 UGENINI NA WOLVERHAMPTON WANDERERS EPL
By Alex Sonna
August 20, 2019 | 3:35 am

Related Stories
View all
Michezo
16 hours ago
IVORY COAST YATINGA HATUA YA 32 BORA KWA KUICHAPA CURACAO 2-0
Mshambuliaji Nicolas Pepe aliiongoza Ivory Coast kutinga hatua ya 32 bora ya Fainali za Kombe la Dunia 2026 baada ya kufunga mabao mawili katika…
Michezo
2 days ago
MBIO ZA SHUKRANI KWA MLIPAKODI KUELEKEA TUZO ZA RAIS KWA MLIPA KODI BORA NA MIAKA 30 YA TRA KUFANYIKA JUNI 27 2026.
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inawakaribisha walipakodi wote nchini kushiriki matembezi na mbio za Shukrani kwa Mlipakodi kuelekea Tuzo ya Rais kwa Mlipakodi bora…
