Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli akihutubia katika ufunguzi wa maadhimisho ya nne ya Wiki ya Viwanda kwa nchi za SADC yanayofanyika jijini Dar es Salaam leo Jumatatu Agosti 5, 2019. Kauli mbiu ya maadhimisho hayo ni “Mazingira Wezeshi kwa Maendeleo na Jumuishi ya Viwanda, Kukuza Biashara na Ajira ndani ya Jumuiya”.
(PICHA NA JOHN BUKUKU-FULLSHANGWEBLOG)
Baadhi ya mawaziri wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar pamoja na viongozi wa Jumuiya ya Kiuchumi ya nchi za kusini mwa Afrika SADC wakiwa kwenye ufunguzi wa maonyesho ya nne ya Wiki ya Viwanda kwa nchi za SADC yanayofanyika jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli akiwapongeza wajumbe katika ufunguzi wa maonyesho ya nne ya Wiki ya Viwanda kwa nchi za SADC yanayofanyika jijini Dar es Salaam leo Jumatatu Agosti 5, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli akimpongeza Salum Shamte mara baada ya kuteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Biashara la SADC) katika ufunguzi wa maonyesho ya nne ya Wiki ya Viwanda kwa nchi za SADC yanayofanyika jijini Dar es Salaam leo Jumatatu Agosti 5, 2019 kulia ni Charit Mwiya Mwenyekiti wa Baraza la Biashara la SADC aliyemaliza muda wake
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali wa SADC na Jamhuri ya Muungano ya Tanzania mara baada ya kufungua maonyesho ya nne ya Wiki ya Viwanda kwa nchi za SADC yanayofanyika jijini Dar es Salaam leo Jumatatu Agosti 5, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli akipiga picha na wajumbe mbalimbali mara baada ya ufunguzi wa maonyesho ya nne ya Wiki ya Viwanda kwa nchi za SADC yanayofanyika jijini Dar es Salaam leo Jumatatu Agosti 5, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli akiwa katika ufunguzi wa maonyesho ya nne ya Wiki ya Viwanda kwa nchi za SADC yanayofanyika jijini Dar es Salaam leo Jumatatu Agosti 5,2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli akiteta jambo na Waziri wa Biashara na Viwanda Mh. Innocent Bashungwa katika ufunguzi wa maonyesho ya nne ya Wiki ya Viwanda kwa nchi za SADC yanayofanyika jijini Dar es Salaam leo Jumatatu Agosti 5, 2019
Katibu Mtendaji wa Sekretarieti ya SADC Dkt. Stergomena L. Tax akihutubia katika ufunguzi wa maonyesho hayo yaliyofanyika leo jijini Dar es salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli akimpongeza Katibu Mtendaji wa Sekretarieti ya SADC Dkt. Stergomena L. Tax mara baada ya kuzingumza katika ufunguzi huo.
Waziri wa Viwanda na Biashara wa Serikali ya Mapinduzi ya Zamnzibar Dkt. Amina Salim Ali akihutubia katika mkutano huo.
Picha mbalimbali zikionyesha baadhi ya wajumbe, Brass Band ya Polisi , Washiriki pamoja na waandishi wa habari waliohudhuria katika maonyesho hayo.
Kikundi cha ngoma kikitumbuiza katika ufunguzi huo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli akiwasili katika ukumbi wa Julius Nyerere kwa ajili ya uzinduzi wa maonyesho ya nne ya Wiki ya Viwanda kwa nchi za SADC yanayofanyika jijini Dar es Salaam leo Jumatatu Agosti 5, 2019.