Home Mchanganyiko MBUNGE MASAUNI AGEUKIA ELIMU JIMBONI KIKWAJUNI

MBUNGE MASAUNI AGEUKIA ELIMU JIMBONI KIKWAJUNI

0

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Riziki Pembe Juma, akizungumza wakati wa Kikao cha Wadau wa Elimu kilichoitishwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi ambae pia ni Mbunge wa Jimbo la  Kikwajuni, Mhandisi Hamad Masauni (kushoto), kujadili jinsi ya kutatua tatizo la kufeli mitihani kwa shule zilizopo katika Jimbo hilo.Kikao hicho kimefanyika katika Ukumbi wa Shule ya Sekondari,Haile Sellasie,Visiwani Zanzibar.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi ambae pia ni Mbunge wa Jimbo la  Kikwajuni,akizungumza katika Kikao cha Wadau wa Elimu lengo ikiwa kujadili jinsi ya kutatua tatizo la kufeli mitihani kwa shule zilizopo katika jimbo hilo,kulia ni Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Riziki Pembe Juma.Kikao hicho kimefanyika katika Ukumbi wa Shule ya Sekondari,Haile Sellasie,Visiwani Zanzibar.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

Mwakilishi wa Jimbo la  Kikwajuni, Nassor Saleh Jazeera, akizungumza katika Kikao cha Wadau wa Elimu lengo ikiwa kujadili jinsi ya kutatua tatizo la kufeli mitihani kwa shule zilizopo katika jimbo hilo.Kikao hicho kimefanyika katika Ukumbi wa Shule ya Sekondari,Haile Sellasie,Visiwani Zanzibar.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

Mwalimu Mstaafu, Ameir Njeketu, akizungumza  wakati wa Kikao cha Wadau wa Elimu kilichoitishwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi ambae pia ni Mbunge wa Jimbo la  Kikwajuni, Mhandisi Hamad Masauni (hayupo pichani), kujadili jinsi ya kutatua tatizo la kufeli mitihani kwa shule zilizopo katika Jimbo hilo.Kikao hicho kimefanyika katika Ukumbi wa Shule ya Sekondari,Haile Sellasie,Visiwani Zanzibar.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

Mwalimu wa Shule ya Sekondari ya Haille Selasie  Ameir, Almas Mohammed, akizungumza  wakati wa Kikao cha Wadau wa Elimu kilichoitishwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi ambae pia ni Mbunge wa Jimbo la  Kikwajuni, Mhandisi Hamad Masauni (hayupo pichani), kujadili jinsi ya kutatua tatizo la kufeli mitihani kwa shule zilizopo katika Jimbo hilo.Kikao hicho kimefanyika katika Ukumbi wa Shule ya Sekondari,Haile Sellasie,Visiwani Zanzibar.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi