Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya mazungumzo na Rais wa Uturuki, Recep Tayyip Erdoğan, jijini Antalya, Uturuki leo Novemba 12, 2026.

Rais Samia yupo nchini Uturuki kushiriki Mkutano wa Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi (COP31), unaofanyika jijini Antalya.

#TanzaniaCOP31