Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius Ndejembi amefika Kigamboni Jijini Dar es Salaam, kuifariji familia ya Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Dkt. Ngwaru Maghembe kufuatia kifo cha Mama yake mzazi Bi. Kudra Salimu Maghembe kilichotokea leo tarehe 08 Oktoba 2026.