Matukio mbalimbali katika Picha  Jumamosi Septemba 26, 2026 katika Ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam katika Hitma ya marehemu Maalim Hafidh Ameir Hassan ambaye alifariki dunia Septemba 7 mwaka huu

Tukio hilo linaenda sambamba na dua ambayo katika imani ya dini ya kiislamu ni msingi wa ibada ambayo Mwenyezi Mungu (Allah) anawakumbusha wanadamu kujiombea msamaha wao kwa wao na kuwaombea msamaha ndugu zao walio tangulia mbele za haki na kutoa shukrani.