Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan azungumza na Wanachama wa Maskani Kaka ya Kisonge, Mjini Magharibi, Zanzibar.