Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Waziri wa Kilimo Mhe. Daniel Chongolo baada ya kuwasili katika viwanja vya Maonesho ya Kilimo vya Dkt. John Samuel Malecela, Jijini Dodoma, tarehe 08 Agosti, 2026.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akitembelea mabanda ya Maonesho ya vijana wabunifu na wazalishaji wa bidhaa katika Maonesho ya Kilimo Nanenane ambayo Kitaifa yanafanyika katika viwanja vya Dkt. John Samuel Malecela, Jijini Dodoma, tarehe 08 Agosti, 2026.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akitembelea banda la Kampuni ya pembejeo za kilimo ya Betaren ya Urusi katika Maonesho ya Kilimo ya Nanenane yanayofanyika Kitaifa katika viwanja vya Maonesho vya Dkt. John Samuel Malecela, Jijini Dodoma, tarehe 08 Agosti, 2026.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikata utepe kuashiria uzinduzi wa magari kwa ajili ya Wakala ya Taifa ya Huduma za Ugani (NAESA) na Matrekta ya vyama vya Ushirika katika Maonesho ya Kilimo ya Nanenane yanayofanyika Kitaifa katika viwanja vya Maonesho vya Dkt. John Samuel Malecela, Jijini Dodoma, tarehe 08 Agosti, 2026.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye Trekta baada ya uzinduzi wa magari kwa ajili ya Wakala ya Taifa ya Huduma za Ugani (NAESA) na Matrekta ya vyama vya Ushirika kwenye Maonesho ya Kilimo ya Nanenane, Kitaifa katika viwanja vya Maonesho vya Dkt. John Samuel Malecela, Jijini Dodoma, tarehe 08 Agosti, 2026.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na viongozi mbalimbali Pamoja na wananchi kwenye Kilele cha Maadhimisho ya Sikukuu ya Wakulima Nanenane ambayo Kitaifa yanafanyika katika viwanja vya Maonesho vya Dkt. John Samuel Malecela, Jijini Dodoma, tarehe 08 Agosti, 2026.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia Viongozi, wakulima, wafanyabiashara, wageni kutoka nchi mbalimbali pamoja na Wananchi wakati wa Kilele cha Maadhimisho ya Sikukuu ya Wakulima Nanenane ambayo Kitaifa yanafanyika katika viwanja vya Maonesho vya Dkt. John Samuel Malecela, Jijini Dodoma, tarehe 08 Agosti, 2026.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Tuzo Maalum kutoka kwa Waziri wa Kilimo Mhe. Daniel Chongolo, kwa niaba ya Kamati ya Maandalizi ya Nanenane Kitaifa, 2026 katika viwanja vya Maonesho vya Dkt. John Samuel Malecela, Jijini Dodoma, tarehe 08 Agosti, 2026.
Matukio mbalimbali katika Maonesho ya Kilimo ya Nanenane ambayo Kitaifa yamefanyika katika viwanja vya Maonesho vya Dkt. John Samuel Malecela, Jijini Dodoma, tarehe 08 Agosti, 2026.