Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla, amejumuika na waumini wa Dini ya Kiislamu katika ibada ya Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa katika Masjid Maisara, iliyopo Maisara, Wilaya ya Mjini Unguja. Imetolewa na Kitengo cha Habari (OMPR) Tarehe 12 Juni, 2026.