Kulikuwa na kipindi maishani mwangu ambapo nilianza kuamini labda mafanikio hayakuwa sehemu ya maisha yangu. Nilikuwa mtu wa ndoto kubwa. Sikupenda kutegemea watu, na kila mara nilikuwa na hamu ya kujitegemea kupitia biashara.
Nilikuwa naamini nikijituma vya kutosha, maisha yangu yangekuwa bora siku moja. Lakini mambo hayakwenda kama nilivyotarajia. Biashara yangu ya kwanza ilifeli baada ya miezi michache. Nilikuwa nimewekeza pesa zangu zote, lakini wateja hawakuwa wengi kama nilivyotarajia…. SOMA ZAIDI
