Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Majirani na Wananchi na Wanachama wa CCM waliojitokeza kwa wingi kumsalimu wakati akitoka kwenye kikao cha Shina namba 1 CCM Chamwino mkoani Dodoma tarehe 8 Mei, 2026.

HABARI PICHA: DKT. SAMIA AKISALIMIANA NA WANANCHI CHAMWINO BAADA YA KIKAO CHA SHINA NAMBA 1
