Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Akiongoza Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM kilichofanyika Jijini Dodoma Leo Alhamis tarehe 07 Mei, 2026.

RAIS SAMIA AONGOZA KIKAO CHA HALMASHAURI KUU YA CCM JIJINI DODOMA
