Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki futari na makundi mbalimbali ya wananchi katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, Ikulu ya Tunguu, Zanzibar, tarehe 19 Februari, 2026.

Sehemu ya Wageni waalikwa walioshiriki futari na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, Ikulu ya Tunguu, Zanzibar, tarehe 19 Februari, 2026.



