
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza na Viongozi wa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma kwenye ukumbi wa Sekretarieti hiyo jijini Dodoma, Desemba 11, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akisalimiana Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete alipowasili kwenye Makao Makuu ya Sekretariati ya Maadili ya Viongozi wa Umma jijini Dodoma, Desemba 11, 2025. Kulia ni Kamishina wa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma, Jaji Mstaafu, Sivangilwa Mwangesi . (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Jengo la Makao Makuu ya Sekretarieti ya Maadili ya Utumishi wa Umma jijini Dodoma. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 



