Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akisalimiana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu-TAMISEMI, Profesa Riziki Shemdoe , Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule (wa pili kulia) na Mkuu wa wilaya ya Dodoma Mjini, Alhaj Jabir Shekimweri (kulia) alipowasili kwenye Soko la Majengo jijini Dodoma kukagua ukarabati wake Desemba 11, 2025. (Picha na Oisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akisalimiana na viongozi alipowasili kwenye Soko la Majengo jijini Dodoma kukagua ukarabati wake Desemba 11, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akiwapungia wananchi alipowasili kwenye Soko la Majengo jijini Dodoma kukagua ukarabati wake Desemba 11, 2025. Kushoto ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu TAMISEMI, Profesa Riziki Shemdoe. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akikagua ukarabati wa Soko la Majengo jijini Dodoma, Desemba 11, 2025. Kulia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu TAMISEMI, Profesa Riziki Shemdoe. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza na mwananchi baada ya kukagua ukarabati wa Soko la Majengo jijini Dodoma, Desemba 11, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)




