Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza na wakazi wa eneo la Usa River, mkoani Arusha katika uwanja wa Magufuli Leganga Novemba 30, 2025. Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu amekagua athari zilizotokana na vurugu za Oktoba 29, 2025 katika maeneo la Kikatiti na Maji ya Chai




