Waziri Mkuu, Meteule, Dkt. Mwigulu Nchemba akipokea maua kutoka kwa mtumishi wa Ofisi Binafsı ya Waziri Mkuu, Tecla Kilangi alipowasili kwenye Makazi ya Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma na kupokelewa na watumishi Ofisi ya Waziri Mkuu, Novemba 13, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Mteule, Dkt Mwigulu Nchemba akipiga kura ya kumthibitisha Waziri Mkuu Mteule, bungeni jijini Dodoma, Novemba 13, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Mteule, Dkt. Mwigulu Nchemba akitoa neno la shukurani baada ya kuthibitishwa na Bunge kwa Waziri Mkuu, Novemba 13, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Mteule, Dkt. Mwigulu Nchemba akisalimiana na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, Dkt. Jim Yonaz alipowasili kwenye Makazi ya Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Novemba 13, 2025. Kushoto ni Naibu Katibu, Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, Dkt. James Kilabuko. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu Mteule, Dkt. Mwigulu Nchemba akipongezwa na wabunge baada ya kuthibitishwa na Bunge kuwa Waziri Mkuu, Novemba 13, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


