Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza tayari kwa kuwahutubia na kuwaomba kura za ndiyo wananchi wa mkoa wa Mwanza na kufunga rasmi pazia la. kampeni za CCM ambapo kesho Oktoba 29, 2025 kutakuwa na uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani utakaofanyika nchini kote.

















