Mgombea ubunge jimbo la kigoma mjini kupitia ACT Wazalendo, Zitto Kabwe akifurahi pamoja na wauzaji wa bidhaa mbalimbali katika soko la jioni la Marungu, alipopita sokoni hapo kuwasalimia baada ya mkutano wake wa kampeni uliofanyika katika kata ya Mwanga kusini, jimboni hapo, Oktoba 26, 2025

Mgombea ubunge jimbo la Kigoma mjini kwa tiketi ya ACT Wazalendo, Zitto Kabwe akihutubia wakati wa mkutano wake wa kampeni uliofanyika kwenye kata ya Mwanga kusini, jimboni hapo, mkoani Kigoma, Oktoba 26, 2025




