Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akzungumza na ujumbe wa Misheni ya Uangalizi wa Uchaguzi ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SEOM) ulioongozwa na Spika Mstaafu wa Bunge la Malawi, Bw. Richard Msowoya, Ikulu ndogo ya Tunguu, Zanzibar, tarehe 26 Oktoba, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Kiongozi wa Misheni ya Uangalizi wa Uchaguzi ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SEOM) Spika Mstaafu wa Bunge la Malawi, Bw. Richard Msowoya, Ikulu ndogo ya Tunguu, Zanzibar, tarehe 26 Oktoba, 2025.



