Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akishuka kwenye ndege, wakati alipowasili katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Seychelles kwa ajili ya kumwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye uapisho wa Rais mteule wa nchi hiyo Dr. Patrick Herminie. Kutoka kulia ni Balozi wa Heshima Maryvonne Pool, Balozi wa a Seychelles Selby Pillay na Balozi wa Tanzania nchini Kenya anaeiwakilisha nchini Sychelles Dkt. Bernard Kibesse, Oktoba 26. 2025 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Balozi wa Tanzania Nchini Kenya anaeiwakilisha Tanzania nchini Sychelles Dkt. Bernard Kibesse, wakati alipowasili uwanja wa ndege wa kimataifa wa Sychelles kumuwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye uapisho wa Rais mteule wa nchi hiyo Dr. Patrick Herminie, Oktoba 26. 2025 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa Tanzania Nchini Kenya anaeiwakilisha Tanzania nchini Sychelles Dkt. Bernard Kibesse alipowasili uwanja wa ndege wa kimataifa wa Sychelles kumuwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye uapisho wa Rais mteule wa nchi hiyo Dr. Patrick Herminie. Kutoka kushoto ni Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Cosato Chumi, Kulia Balozi wa Heshima Maryvonne Pool na Balozi wa Seychelles Selby Pillay, Oktoba 26. 2025 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)



