PICHA mbalimbali za Mgombea mwenza wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi alipowasili jijini Mwanza na baadaye kuelekea Wilaya ya Ukerewe kwenye mkutano wake wa mwisho wa kampeni unaofanyika katika uwanja wa Gertrude Mongella leo Oktoba 25, 2025.

DKT. NCHIMBI AWASILI MKOANI MWANZA



