Kwa zaidi ya miaka miwili, nilikuwa naishi maisha ya mateso. Nilihisi maumivu kila siku, nilipoteza hamu ya kula, na usingizi haukuwahi kunitembelea kwa amani. Kila nilipojitahidi kupata nafuu, hali yangu ilizidi kuwa mbaya zaidi. Nilihisi kama mwili wangu unazidi kunikataa, na hata madaktari walionekana kuchanganyikiwa na hali yangu.
Nilianza safari yangu ya hospitali moja hadi nyingine, nikitumia pesa nyingi kwa vipimo, dawa na ushauri wa madaktari. Wengine walisema ni tatizo la tumbo, wengine wakasema ni msongo wa mawazo, lakini hakuna aliyenipa suluhisho la kudumu. Wakati mwingine nililala njaa kwa sababu nilihisi tumbo langu halikubali chakula chochote. Nilianza kupoteza uzito kwa kasi, nikawa dhaifu kiasi cha kushindwa hata kutembea umbali mfupi……. SOMA ZAIDI



